Photo studio

Photo studio

XOXOQY

Senior Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
193
Reaction score
54
hi 2 all bila kuwasahau ma technologists and scientists pamoja na wazee wa

{<html><body><font color="0000" size="3">programmers</font></body></html>}

i just mean wazee wa lugha ya mashetan a.k.a intelligents language.
MIMI NI MTAALAM WA MAMBO YA IMAGE DESIGNING AND EDITING,

NINGEPENDA KUFANYA KAZI KATIKA STUDIO YOYOTE YA PICHA INAYO DEAL NA MAMBO HAYA HASA INAYOJIHUSISHA NA SPECIAL MODELING IMAGE.
moja ya kaz yangu inapatkana hapa

HIVI NDIVYO OSAMA 'FAKE' ALIVYOTENGENEZWA - Global Publishers

ANAYEHITAJI MTAALAMU WA MAMBO HAYA KATIKA STUDIO YAKE ANICHEKI KWA NAMBA HII 0757079055.
 
Matangazo yanalipiwa pale kwa ROBOT
 
we mkali lakini unaonaje ukafungua studio yako kabisa
 
Back
Top Bottom