Natafuta suzuki carry offer 5mil.

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
NATAFUTA SUZUKI CARRY OFFER 5MIL.
iwe katika hali nzuri,ukaguzi wa kitaalamu utafanyika.
manual,
isiwe imetembea zaidi ya 70,000km.
namba yangu ni: 0769055577/0715055577
 
Mimi Ninayo inaingia Bongo Mwezi ujao KM 70,000 kutoka JAPAN bei dola 4200 utakomboa (TRA) mwenyewe
 
nina vitara,milango mi 3,rangi nyeusi left hand drive,manual bei 10m
 
Hapo kwenye Nyekundu sio kweli Ushuru wa hizi gari hazikuorodheshwa TRA kwahiyo wanapiga na CIF Invoice kwahiyo suhru wake Hauzidi 1.4 Milioni kwahiyo ni Rahisi sana kaka ulizia kwanza kama formula huna nikutumie kaka

hiyo $4200*1600=6,720,000
tra kodi= 5,280,000
jumla 12,000,000

jamaa ana 5m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom