Vyumba kwa ajili ya ofisi vinapangishwa

Vyumba kwa ajili ya ofisi vinapangishwa

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
885
Reaction score
1,297
Vyumba kwa ajili ya ofisi vinapangishwa,vipo vyumba 3,vipo maeneo ya mwenge njia ya kuelekea mbez beach,opposite na kanisa la EFATHA ,vipo kwenye ghorofa.contact me:0652206863
 
mi natafuta chumba cha ofisi. je ni size gani hivyo vyumba
 
Chumba ambacho hakina partition ,width 2.65m and length 6.05,na chumba kingine chenye partition tatu,width 1.44 and length 3.06.
 
Back
Top Bottom