Nataka kuuza gariyenye tax exmption

Nataka kuuza gariyenye tax exmption

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Wakuu, kabla sijaingiza kagari kangu sokoni naomba wale weledi wa mambo ya kodi mniambie tax implications za kuuza gari yenye tax exemption, iliingizwa Tanzania Mwezi March 2008.
 
Kwa ufahamu wangu mdogo mnunuzi akitaka kuhalalisha mabadiliko ya umiliki say jina kwenye registration card atapaswa kulipa kodi. Hii husababisha kupungua kwa thamani ya gari sokoni haswa ukizingatia kwamba wengi hawataki usumbufu. meanwhile nadhani thamani ya gari inakuwa na depreciation so nakushauri ukailipe mwenyewe kabla ya kuingia sokoni. obvious itakuwa pungufu ya ambavyo ungelipa hiyo 2008 (hii itakunufaisha zaidi sokoni naamini).
 
Hiyo tax exemption ilishakwisha hapo check na TRA utajua kwani inakuwa valid for 3 years tu kama ulipata kama mfanyakazi. Kila baada ya miaka hiyo unaweza kupata tena exemption na iliyopita inakuwa sio valid tena
 
Back
Top Bottom