Kuna mdada kanisusia na mimi natumia Samsung so hazifanyi kazi kwangu naomba kujua bei zake. Na zinatumika kwenye Iphone gani?
NB:Siziuzi
Ilikuwaje nikasusiwa mada itakuja.
Karibu kwenye huduma ya Tax Consultancy! Tunatoa huduma za ushauri wa kodi kwa wafanyabiashara, watu binafsi na mashirika ya umma katika kuhakikisha kwamba wanatimiza majukumu yao ya kodi kwa...
Uzi huu ni maalumu kwa bidhaa used pekee,kwa bei ya used na kwa walio na utayari wa bargaining..usilete bei zako za dukani hapa
Weka bidhaa yako na mawasiliano mkamalizane dm au ikibidi hapa...
Shule 12 tu za awali nazipa offa ya mifumo
1. Shule za (msingi) Primary unapata mfumo wa wanafunzi hadi 400 darasa moja kw tsh 10,000 tu wenye ratiba, ripoti na matokeo.
2. Shule za sekondary (O...
Habari wadau!
Kuna BP Machine hapa mpya pamoja na medical equipment zingine mpya,zote kwa pamoja zinauzwa Tsh 70000/=tu,
Mwenye uhitaji apige au atume what sapp kwenye namba hiyo +255682017479.
A plot for sale Kibaha Kwa Mathias.
Ukubwa: Mita 20 kwa 20.
Umbali: Km 5
Bara bara ya lami.
Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000.
Umeme na maji ya dawasco yapo.
Huduma za kijamii zote zipo.
Kipo...
#MBALIZI_FARMING_PROJECT
0752 652 249
0752 652 249
MAANDALIZI YA KUSTAWISHA MAJANI YA NG’OMBE
2.1 Majani ya ng’ombe wa maziwa
Chakula kikuu cha ng’ombe ni nyasi. Kwa hiyo, maandalizi makubwa ni...
Habari. Nauza Nguruwe.
Madume yaliyo hasiwa Yapo.
Madume ya Mbegu Yapo.
Na Majike ya Mbegu Yapo.
Ukihitaji Nyama.
Kilo 1 ni Tshs 8,000/=
Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe.
Piga...
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Km 1 kutoka ferry. Unaweza kufanya ukarabati ikatumika kwa kupangisha au hostel.
Vyuo kadhaa vipo jirani.
Bei : 35 M
0746 474849
Je,huyu ni Wewe?
Kama Unamiliki Kampuni au Ndo umefungua kampuni yako Mpya..
Na unatumia EMAILS katika Mawasiliano ya Kampuni yako
@nyumbani_digital tumekuletea Huduma itakayokusaidia kampuni...
Unaandaaje ripoti za shule yako? Ripoti zinaonekanaje? Umeridhika na mwonekano huo? Kama hapana, chukua template hii (mfumo) utakusaidia kuandaa matokeo kwa urahisi na ufanisi.
Unapata ripoti kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.