Naomba kujuzwa gharama ya kibanda cha chuma

Naomba kujuzwa gharama ya kibanda cha chuma

Yule girl

Member
Joined
Oct 5, 2020
Posts
25
Reaction score
40
Naomba kuuliza hivi bei ya kibanda cha chuma cha Biashara kinaweza kugharimu sh. ngap!?

Kiwe kikubwa kidogo tofauti na vile vya mawakala.
 
Inategemea na shughuli unayotaka kukifanyia, ila kama alivyosema mmoja hapo juu kuanzia laki 8 hadi milioni 1 na nusu, waweza kutengeneza cha kibabe sana. Itategemea na design, size, finishing etc. Ukihitaji msaada zaidi wa ushauri nicheki pm. Kama upo Dar naweza kukupa muongozo zaidi.
images - 2023-05-22T233546.428.jpeg
images - 2023-05-22T233524.418.jpeg
 
Back
Top Bottom