Inauzwa: Mashine ya kutengeneza mkaa mbadala/mkaa wa mawe

Hunk Troy

Member
Dec 23, 2014
11
25
Bei: 5 mil, bila motor. Mazungumzo yapo

Uzalishaji: Kilo 700 - 1,000 kwa siku

Sifa ya mkaa wake: Unaungua/kuwaka kwa masaa 4+

Ni mashine ya chuma kigumu cha pua. Ina gia box pia.

Bei elekezi ya mkaa mbadala: 400 - 500 kwa kilo.

Matumizi ya umeme: Tsh 5,000 - 7,000 kwa siku

Sababu ya kuuza: Kuama kikazi na Kukosa wasimamizi waaminifu

Mawasiliano: 0747945847

IMG_20230524_122000_866.jpg
IMG_20230524_122016_853.jpg
IMG_20230524_122051_298.jpg
 
Back
Top Bottom