Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp...
0 Reactions
87 Replies
6K Views
Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea. Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres). Mahali: Chamazi, karibu na Azam...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Simu: Nauza Inverter Brand: Victron Energy Model: Multiplus Power: 2000VA System Battery: 24 VDC Both inverter and charger Bei 1.5m Fixed Growatt Model SPF 3000 HVM Power: 3000VA System...
1 Reactions
10 Replies
892 Views
Kiwanja chenye Banda la kuku na nyumba ya vyumba viwili kinauzwa. Ukubwa: 450 mita za eneo Mahali: Kinondo Mskiti Mpya, Bunju Umbali: Dakika 7 kutoka Barabara ya Bagamoyo Umiliki: Hati Bei: 35...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Touch screen ni sifa kulingana na project inayofanyika : SIFA ZAKE: 1. Iwe brand yoyote 2. Iwe na hard disk yenye ukubwa wa kutosha ( ssd au za zamani) 3.Iwe na processor imara ya generation isiyo...
1 Reactions
3 Replies
555 Views
Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/= Unaweza piga/whatsap 0719478826 Deliver nafanya pia ukihitaji✅ Karibu sana
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nmekuwa nikimiliki eneo kubwa sana, katka eneo langu kuna sehem haya madini yanapatikana kwa wingi sana sasa natafuta soko lake Atakae nipatia soko lazma atapata 5% ya mauzo Ahsanten
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
0 Reactions
6 Replies
858 Views
Kampuni : SEAGATE Size: 1 TB Contacts: PM Hard Disk nzuri haina shida aina yoyote,ukihitaji nikuwekee na movie aina zozote utakazotaka inawezekana pia (bei ya movie tutaongea). Nikikupa HARD...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chainsaw aina ya Newtop inauzwa Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunauza vyombo aina mbalimbali vya nyumbani,vyombo vetu ni kutoka Uturuki, Dubai pamoja na China
0 Reactions
5 Replies
661 Views
Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana. Kama unalo tafadhali naomba...
0 Reactions
10 Replies
787 Views
Narudi tena kwenu wanajamvi kutaka kupata connection ya SOKO LA VANNILLA mbichi na kavu. Kagera tuna kilio kikubwa VANILLA imekosa wanunuzi wakulima wanapoteza matumaini kabisa mwaka huu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kod lak 500,000 malipo n miez 10 Piga simu au watsap Namba hii 0718436694
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni anayefahamu kampuni ya mizigo unayosafirisha mizigo moja kwa moja mpaka babati mjini.
0 Reactions
6 Replies
769 Views
Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Nyumba ipo mtaa wa kangaye kata ya nyakatNYUMBA INAUZWA IPO MTAA WA KANGAYE-NYAKATO-MWANZAo-mwanza ipo karibu na shule ya secondary KANGAYE, ina vyumba 3 na sebule, Ndani Kuna lipu na Bomba za...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje...
1 Reactions
0 Replies
478 Views
Kluger 2002 model CC 2360 Mileage 83,000km Bei 18.5m Highly Negotiable
1 Reactions
7 Replies
864 Views
Nauza paka/nyau. Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus. Location: Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala) Mawasiliano: 0718 727210 (Whatsapp/SMS) Bei: 540,000/=...
11 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom