Kiwanja kinauzwa bei poa kipo Arusha Sakina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa bei poa kipo Arusha Sakina

Discussion in 'Matangazo madogo' started by triza, May 30, 2011.

 1. triza

  triza Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kinauzwa bei poa kipo Arusha Sakina sailentin mita 500 kutoka barabarani,

  bei Milioni 8.5 ukubwa ni 22 kwa 17 kina umeme na maji

  mawasiliano 0754320077/0655320077/ 0717010310
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Umbali wa Mita 500 toka barabari.......barabara ya lami au hizo za changarawe? Naishi eneo hilo weka location sahihi ya kiwanja kilipo i.e. karibu na nini?
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  huyu lazima atakuwa dalali mbona hasemi kipo karibu na nini??
   
 4. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kutoka barabara ya lami ni umbali gani??:dance:
   
 5. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  mkuu naomba hiyo red unifafanulie kidogo; kiwanja kina umeme na maji????? ki vip
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Mkuu nasikia eneo la sakina maji ni mgogoro ebu fafanua vizuri hiyo 8.5 ni pamoja na dau la dalali.
   
 7. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hili eneo si ndilo bomba la CTU linapita?kuna soo ya maji ile mbaya pale.
   
 8. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hehehe bwana Triza watu wa Arusha naona tuko wengi, na jinsi Arusha ilivyo kubwa (soma ndogo), tunajua pande zote za mji....
  Jaribu tena badae...:pound:
   
Loading...