Ninatengeneza studio za redi na muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninatengeneza studio za redi na muziki

Discussion in 'Matangazo madogo' started by SIR_KIMANYO, May 30, 2011.

 1. S

  SIR_KIMANYO Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanyenia ya kumiliki Studio kwa ajili ya Kituo cha Redio au kurekodi na kuhariri video wanaweza sasa kuwasiliana na mimi +255 784 582039

  http://digkazi-digkazi.blogspot.com/
  Asante
   
 2. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Unaposema unatengeneza unamaanisha nini??
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Nina nia ya kuanzisha redio ya jamii hapa kwenu hivi karibuni.Nipatie mwanga wa mahitaji na gharama zake!
   
 4. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Politics at work. Si kila kitu lazima utoe comment.

  Jamaa anatengeneza,nadhani lugha inajieleza. WANATENGENEZA
   
 5. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Unazo information Nzuri sana kwenye Blog yako ila Nadhani hujui ni nani unamlenga, Kwa mfano naona kuna sehemu umeonyesha jinsi Fiberoptic inavofanya kazi ila umeweka picha tu sasa Hapo sijui imekaaje

  Kumbua a Good Infrmation should meet at least one tree of the following:
  Correctness
  Completeness
  Integrity

  Nadhani unazijua,

  Alafu kama Vipi tumia Kiingereza tu coz naona Kuna baadhi ya mambo unayaandika kwa kiswahili but kuna makosa,
  Personaly napenda sna vitu ulivoviweka kwani ndo interest zangu!.
  Naomba kila picha uwe unasema ni kitu gani na kinafanya kazi gani na sifa yake, Yani info ziko pale but hazijakamilika

  Safi sana!
   
 6. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimecheka sana coz u r trying to walk on my shoes!, Kutengeneza haipo Complete hata kidogo,

  Anatengeneza vifaa vya studio ?
  Yeye anakiwanda cha kutengenezea studio??
  Anafanya repair ya Vifaaa vya Studio??

  Au anafanya na Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha Studio (Consultant)?
  Aisee tena nadhani umekurupuka sana kusoma comment yangu.
  Tembelea hiyo link ya blog yake! alafu angali then toa Comment

  Kama Ni politics poa, ila kama ni haki yangu kukoment ungenielewesha tu, hakuna politics hapa!, tunawekana Sawa!
   
 7. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Nimetembelea blogspot yako.unachofanya mimi nimeshindwa kukuelewa kabisa
  Nadhani una tatizo la namna ya kufanya marketing ya unachofanya.
  unatuwekea kuwa vifaa hivi vinfanya hiki na kile kwa hiyo?
  Nafikiri omba msaada wa watu wa marketing wakusaidie na mpangilo wa post zako kwenye blog yako hazieleweki kabisa.

  Mimi nilivutiwa na namna ya kutengenezewa studio ya kuhariri video katika post yako hapa JF lakini nilipokwenda katika blog yako nisome zaidi sikuona kitu bali nimeona picha za video camera za kisasa tu.

  Kuwa wazi mkubwa ili Huweze kupata kazi,tunakuhitaji sana
  Karibu
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Soma tena huo post kaka, Hiyo lugha haijielezi na haieleweki kabsaa; Anatengeneza nini katika Studio za Redio?
  Je, yeye ni interior designer anadesign na kuteneneza setup ya ndani?
  Je, yeye ni carpenter anaimpliment kazi za studio interior designer?
  Je, yeye anafanya setup ya mitambo ya kurushia matangazo?
  Kuna posibilities nyingi sana katika hapo: Akiulizwa wewe unasema Politics Dah!
   
Loading...