Toyota estima kuagiza toka japan..! Msaada

Toyota estima kuagiza toka japan..! Msaada

Mr. Masasi

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
53
Reaction score
4
Toyota estima inauzwa na autorec dola 1780 au shligi 2,848,000 iko japan. Hivi garama ni pamoja na usafiri wa kuileta huku tanzania au? Harafu nisaidieni mchanganuo wa kodi zetu wa kuingiza gari hapa tz, gari imetengezwa mwaka 2002 engine ni cc 2500. Je kwa kuwa imetumika na inauzwa bei nzur huko japan kabla TRA hawajachukua kodi yao, inawezekana ikawa ghari sana? Nisaidieni, thank
 
Kuna topic nyingi sana humu JF zimezungumzia jambo hilo, ukisearch utapata michanganuo ya namna TRA wanavyokokotoa kodi na ushuru mbalimbali unapoingiza gari bongoland from anywhere. Lakn kama wewe ni mvivu angalia ujazo wa injini, mwaka iliyotengenezwa, pia angalia hiyo bei kama ni FOB au CIF; kisha ingia Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com utapata figure ya karibu kabisa na gharama za kuingiza estima yako.
Karibu JF.
 
Back
Top Bottom