Fremu ya biashara inapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fremu ya biashara inapangishwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, May 30, 2011.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ipo changombe -temeke karibu na maduka mawili
  piga namaba 0713 689665 kwa maelezo zaidi
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bei ni kiasi gani maana ndo kivutio cha kwanza
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu mbona hujatoa maelezo ya kutosha na kuvutia? mf bei ukubwa mode of pament na mambo kama hayo
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani wapendwa, bei ni Tshs. 70,000/= kwa mwezi na mkataba ni wa miezi 6 . Kodi hii ni nje ya gharama za umeme na ulinzi.
  Ukubwa mtanisamehe maana mimi ni mama nimesahau ukubwa wa vyumba vyangu.
  Fremu zinatazama barabara ya changombe

  Nadhani nimeeleweka kiasi, ukubwa wa chumba nitatoa kesho Mungu akijalia
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  ok tunasubiria, vp panafaa kwa biasahra ya pombe? au!
   
 6. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Pole sana na samahani kwa BIASHARA YA POMBE SIRUHUSU
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wenye nyumba mnaringa ana na nyumba zenu haya>............

  nashukuru sasa panafaa kwa biashara gani?? mama ntilie inalipa? (CHAI , MAJI, JUICE, SODA, MAZIWA) au nayo hauruhusu?
   
 8. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33

  panafaa mkubwa naruhusu biashara za chakula na vinywaji unavyosema.... Karibu
   
 9. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Panafaa biashara hiyo na ninaruhusu biashara ya chakula na vinywaji kama ulivyosema karibu......
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,859
  Likes Received: 23,474
  Trophy Points: 280
  Sasa kumbe pombe si kinywaji? Nikifungua duka, naruhusiwa kuuza sigara?
   
Loading...