Msaada wakuu

Msaada wakuu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Ninatumia Modem ya Vodacom,Ila nimejikuta ninakwama kwakuwa eneo nililopo mtandao wa voda unasumbua sana,nauliza kama kunauwezekano wa kuchakachua niweze kutumia line yeyote.
 
Back
Top Bottom