Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF...
Wenyeji wa KATA ya Kinampnda!
Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu,
Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu...
Ninauza simu kwa bei nafuu kabisa
1. HTC Wildfire imetumika mara chache(UK), almost karibu na mpya, touch screen android phone,iko na pouch rangi ya pink (kwa masista duu) bei laki tatu na nusu...
NYUMBA yenye vyumba 3 , dinind, sitting, jiko na choo+bafu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa kimara mwisho - ghorofani.
bei Mil 35 (O.N.O).
kwa mawasiliano ya kutumiwa picha za nyumba na maelezo ya...
JF kila kitu kinawezekana....wakuu natafuta ramani ya nyumba ya vyuma vitatu au vinne...nyumba ya kawaida...au ikipatikana hata ya ghorofa moja..lakini ground floor iwe na na hata vyumba viwili i...
WanaJf wote naomba kutoa tangazo la kuwa ninauza Portable external Hard disks za
Seagate.
500GB kwa Tshs 160,000/=
na
1TB kwa Tshs 230,000/=
unaweza kuzitumia kwenye operating system...
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni...
Wakuu,
Naiuza BlackBerry yangu kwa bei ya kutupwa (BB Bold 9700). You mention the price, we negotiate.
Imetumika kwa 4months, ina screen protector (haijapata mikwaruzo).
Devices ZOTE zipo ikiwa...
Niko nje ya nchi kwa muda wa miaka 5 sasa, hivyo basi sijui biashara gani inalipa kwa wakati huu.So mwenye ideal naomba anishauri ili niweze kumuwezesha bi.mkubwa(mama) maana kila biashara anayo...
nimekuwa nikiangalia Scoan and emanuel Tv for a long time, nimetokea kupenda na kuwaamini....jamani, nani anaelewa hapa tz naweza kupata wapi anoiting water and wrist band from TB joshua...
Property and Real Estate Tanzania Offers accommodation for rent
In Mbezi Beach close to Tangi Bovu.
Three bedrooms (one en suite),
Sitting, dinning, kitchen, maid's room en suite, open...
Hellow wanaJF
Wandugu jamani ninaombeni msaada wenu najua hapa kuna watu wa kila aina,mafundi,engineers, doctors etc. Kwa mtu yoyote atakayekua anahitaji Vifaa kwa engine aina ya 1AZ ambayo...
Nauza Iphone 3Gs. Original From USA. Tuwasiliane kupitia Inbox humu ndani. Nitakuwepo Dar Mwezi ujao.
Simu nimeitumia kidogo, ila haina Mkwaruzo hata kidogo. yaani inaonekana mpya kabisa. Ina...