Petrol station for sale kibaha kongowe

Petrol station for sale kibaha kongowe

Hamad Mfaume

Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
38
Reaction score
1
Kituo cha mafuta kinauzwa Kibaha Kongowe kinaeneo kubwa la kutosha kabisa bei Milion 450. 0754383174./0713383174. Email, hamad702000@yahoo.com
 
Ni kipi pale kongowe au ni kile kongowe petrol station?
 
Kituo cha mafuta kinauzwa Kibaha Kongowe kinaeneo kubwa la kutosha kabisa bei Milion 450. 0754383174.

Unauza pamoja na pumps na underground tanks? kama ndio, je kuna pumps ngapi, matenki mangapi? Kongowe sehemu gani? Shukran
 
Kituo kipo Kongowe ya Kibaha kabda ya Kufika Kongowe Stand. Ofisi zipo, matenki yapo matatu sehemu za kusimamishia pump zipo umeme upo, eneo kubwa sana. Vibali vipo.njoo ukague piga 0754383174. Mr Hamad Mfaume.
 
Hakifanyi kazi. Kipo nje ya reserve ya barabara. Tank za chini zipo pump hakuna ila nikupachika tu, ofisi ipo
 
Wewe Lymo unauza Sheli Imeshafungiwa Na TRA Unatuuzia mbuzi kwenye Gunia?? Lipa kwanza Kodi maana unataka kukumbia 1Bilioni ya TRA
 
Kituo sio cha Lyimo. Pia kuwa na mstaarabu na maelezo yako nani hajalipa kodi.?
 
Wakuu Mbuzi kwenye Gunia nenda mwenyewe KIbaha mjini ulizia utaambiwa kwani mimi naishi Misugusugu nakijua A to Z sasa weewe agent unataka kuniambia nini?
 
Wewe usilolijua litakusumbu kitu kama haujui nyamaza. Kituo kinachouzwa wa sio cha lyimoo kamaunavyofikiri. Kukaa Misugusugu bado ujakuwa mjanja. Chukua futi kapime hata hicho kituo cha lyimoo hakipo katika Reserve Road. Tafuta Comment nyingine. Kituo kinachouzwa ni kile chenye Pump moja baada ya kupita cha lyimo, upande wa kushoto.
 
Ahsante original Pastor kwa kutupa ukweli asee,atakayeingia kichwa kichwa shauri lake....................
 
Bwana Sharifu Vituo vinavyouzwa vipo vi3. Chalinze kina pump 2. Na matenki 3. Kwa Mfipa kina pump 4. Tank 5.jumla tank zote lita 80,000. Vibali vyote vipo kinafanya kazi karibu Mkuu.
 
Bwana Sharifu Vituo vinavyouzwa vipo vi3. Chalinze kina pump 2. Na matenki 3. Kwa Mfipa kina pump 4. Tank 5.jumla tank zote lita 80,000. Vibali vyote vipo kinafanya kazi karibu Mkuu.

Nataka kuja kuviona hivyo vituo vyote, nitakupataje ama nitavijuaje? Kila kimoja kina bei yake?
 
Kituo kipo Kongowe ya Kibaha kabda ya Kufika Kongowe Stand. Ofisi zipo, matenki yapo matatu sehemu za kusimamishia pump zipo umeme upo, eneo kubwa sana. Vibali vipo.njoo ukague piga 0754383174. Mr Hamad Mfaume.

Mkuu, eneo kumbwa kiasi gani? Can you be specific?
 
Back
Top Bottom