Hebu to maelezo, mm naona watoto weeeengi wamekusanywa na vijeba. Hiyo kampeni imeandaliwa na nai, malengo nini?
Mji hauwezi kusafishwa kwa operasheni; haohao wanaoshiriki kwenye oparesheni kesho wanatupa ovyo maganda ya ndizi!
nilikutana na vijana wadogo kabisa lakini waliniamasisha kwa hili jambo wanalofanya kwa umoja wao,nimewaunga mkono kwa kile kidogo nilichonacho.