Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Kina ukubwa wa sqm 900.kina hati miliki. Bei toa ofa yako.kwa mawasiliano piga simu. 0717114409
 
kama unauza kweli taja bei sio mteja ataje bei, umeshaona wapi mtu kaenda dukani kununua bidhaa halafu ajipangie bei!? wewe mwenye mali ndio unajua thamani ya kiwanja chako. Mwaga bei watu wachakalike.
 
Naunga mkono hoja...plz mkuu tupe bei!
 
kinyerezi sehemu gani,kwani hati zimetoka kule,si kuna sakata la upimaji??uwe mkweli ndugu
 
kuna harufu ya kuuziwa kiwanja cha ukoo hapa, kuweni makini, muuzaji gani hataji bei?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom