Sale of unfinished hotel / guest house | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sale of unfinished hotel / guest house

Discussion in 'Matangazo madogo' started by sha, Aug 15, 2011.

 1. s

  sha Senior Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  HOTEL / GUEST HOUSE ( UNFINISHED- IKO LEVEL YA LENTA ) INAUZWA , INA VYUMBA 40 VYOTE SELF CONTAINER, MAJENGO MAWILI, IPO MOROGORO ENEO KUBWA NA ZURI SANA, DOCUMENTS ZOTE INTACT.BEI MAELEWANO ie UNATAJA MNUNUZI, PIGA SIMU ZIFUATAZO ( NO MIDDLE MAN ) 0716 177 668 AU 0755 572 360 AU 0784572360. PHOTOS ATTACHED :

  majengo yo te kutokea kusini mashariki[1].JPG jengo la nyuma kutokea kaskazini mashariki[1].JPG corridor[1].JPG GetAttachment.jpg jengo la mbele kutokea kaskazini[2].JPG majengo yote mawili kutokea kusini magharibi[1].JPG
  jengo la pili usawa wa renter. na mfano wa ramani na ukubwa wa vyumba[1].JPG
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  ipo sehemu gani morogoro give directions!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  sioni dalili ya miundombinu kama maji,umeme jirani!umbali gani toka barabara kuu?
   
 4. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Bei ya kuanzia ni muhimu sana
   
 5. s

  sha Senior Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  MSAMVU , KIKO MITA CHACHE BARABARA YA DSM KWA UPANDE MMOJA NA UPANDE MWINGINE BARABARA YA DODOMA, UMEME NGUZO IPO PALEPALE NA MAJI YAPO. INAFAA KWA HOTEL,GUST HOUSE,HOSPITAL,HOSTEL n.k
   
 6. s

  sha Senior Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu una takiwa ku offer / ku bidd, highest bidder wins.maeelezo zaidi mitandao iko hewani wakati wowote, karibu.
   
 7. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  mambo ya ku offer yamepitwa na wakati. Wewe kama muuzaji ni lazima uwe na bei unayoitaka - sasa kwanini usiweke hapa wazi ili watu tujue. Angalia matangazo mengine hapa - karibu yote wauzaji wameweka bei!! Mazungumzo yatafanyika nikiwa najua kianzio
   
Loading...