Nauza gari yangu aina ya land cruiser prado kama inavyoonekana pichani bei ni 17 million haina tatizo lolote na mwenye kutaka kuiona awasiliane nami kwa namba 0767234224
Wadau heading inajieleza, natafuta gari aina ya Premio, engine isiwe D4. offer yangu ni 6 million, lakini gari iwe nzuri na bora. mawasiliano ni o784419o3o
2000 Toyota Opa for sale..
Price: $7,000 (Non negotiable)
Features:
Mileage: 110,000 km
Beautiful Interior and great condition
Everything working good
No Accident
Duty fully paid with...
Wakuu,
Nauza Mazda Demio ya Mwaka 2003,
CC 1300,
Mille-age 106,000
Petrol,
Milango 5,
5 seater,
Ishasajiliwa,
Imetoka Bandarini last week,
Bei 7.8Mil,
Picha nitaziweka soon,
Mwenye...
PROMO PROMO PROMO
Schoolbook classic is web portal for schools and academic entities. With schoolbook you can easily find different school profiles around the word, together with schools...
Nina Iphone version 3.1.3 nataka ku-upgrade iwe 4.2.4 au zaidi mwenye uwezo huo nijulishe ili nikuletee unirekebishie Mimi Niko Dar-es-salaam.
Pia itapendeza kama ataweza kuniwekea Winterboard.
USHAURI KUHUSU UNUNUZI WA GARI
Samahani kwa usumbufu wadau.
Naombeni ushauri wenu kuhusu gari kati ya OPA NA NADIA ipi inakula mafuta sana.
Vipi na garama za service.
Nahitaji kununua kati ya...
I have Mini Laptops Available from USA, If you or your friends interested let me know. Limited Stock
Dell Inspiron Mini 10
Intel Atom 1.6GHZ
1GB RAM
160GB Hard Drive
10.1 '' WideScreen
WIFI...
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba Bi. Esther Reuben ameaga dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Da es salaam.
Kwa wale waliosoma Moshi technical secondary...
Wakuu natanguliza shukrani.
Nategemea kuja Dar mwanzoni mwa September sasa ni wapi naweza pata nyumba ya kupanga kwa muda mfupi kama wiki 2 au less hivi, hakuna masharti magumu sana ila tu iwe...
jamani nilitangaza kua kuna fremu ninazipangisha maeneo ya manzese midizini na godown sasa zimebakia fremu nne na godown moja bei za fremu ni 160,000 na warehouse ni mil moja na laki sita...
wakuu nahitaji studio apartment, yani one big master bedroom inayojitegemea, iwe ndani ya fenced compound kwa ajili ya usafiri wangu, maeneo ya savey, opposite na mlimani city upande wa kwa kakobe...
Specifications
Mobile Phone/Car Plug & Play Bluetooth
Rear-view mirror with integrated Bluetooth hands-free system (is simply docked at the existing rear-view mirror)
Therefore ideal...