Hard disk for sale

Hard disk for sale

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Bei 150,000
size 320GB
Muuzaji nipo dar
Mnunuzi ni PM nikuachie mzigo
 
Bei 150,000
size 320GB
Muuzaji nipo dar
Mnunuzi ni PM nikuachie mzigo

mkuu bei juu sana hzo vitu sikuizi zimeshuka sana kwa bei hyo ya laki na nusu mie nakupa 500GB na 750gb ,If interested call 0713388226
 
mkuu naweza pata 500gb kwa 130000?
 
mkuu bei juu sana hzo vitu sikuizi zimeshuka sana kwa bei hyo ya laki na nusu mie nakupa 500GB na 750gb ,If interested call 0713388226

marty ngoja niuze hii nakuja nunua hiyo ya 750GB...
 
tizo hiyo laki unanipa au unanunua kwa Mrl Marty

nitanunua kwa mr marty.lakini ya kwako naitaja pia....kwa sasa naumwa sana nipo kwenye matibabu.nikisha pona nitakutafuta MUNGU akipenda.ila kama ukipata mteja we uza tu.Sasa nimeegemeza nguvu katika matibabu kwanza...SIKU NJEMA.
 
pole sana mkuu....
 
Nyie hzo HDD za 1Tb mnazouziana laki5 ni external au internal, ni brand gani na specs zipi?!!!!!!!! maana hzi makitu zinauzwa laki na nusu!!!! Tueleimishane wakuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom