Mambo vp wakubwa' natafuta earphone za blackberry na ni zile za pin kubwa. Mwenye nazo anichek kwa PM na bei yake anitajie.
Ina maana wewe shaba? Mbona watoa tu bure?mkuu bwana ..ninazo oroginal hazitumiki uje uchukue tu bure..ntakuwa calabash mida ya saa sita....namba yangu si unayo ni text basi..
Blackberry inatumia earphone za kawaida. Nenda kwenye maduca ya vifaa vya muziki hata kwa wamachinga zinapatikana pia. Kama upo dar nenda posta mpya, kila mmachinga pale chini anazo
Ina maana wewe shaba? Mbona watoa tu bure?