kichwa cha habari hapo juu chausika...ni PM nikutafute fasta
dah almost 50000 mbona ghal sana aisee me shida yangu ya bei rahisi line ya airtel tu... ya kama 30,000
Wewe naona huhitaji modem bali umejisikia kusumbua watu tu. Maana kila unaloambiwa unasema ni ghali na unaona kama vile unaibiwa. Mimi nakushauri ukae bila modem ili usiibiwe.umejiskia kuandika tu eti? Kwan me sjui kama zinauzwa?...nataka bei rahisi bro 53000 naona kama nadhulumiwa vile...
Wewe naona huhitaji modem bali umejisikia kusumbua watu tu. Maana kila unaloambiwa unasema ni ghali na unaona kama vile unaibiwa. Mimi nakushauri ukae bila modem ili usiibiwe.