Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Helo wana jf natafuta room 2 naeneo hayo hapo juu self nyumba iwe nzuri kwenye uzio karibu na barabara maji na umeme isizidi laki moja call 0714141977 thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anashule yake au anafahamu shule ya private nzuri inayohitaji mwalimu wa History na Geography mwenye elimu ya degree anitafute kwenye no 0764620855
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta kiwanja maeneo ya kigamboni.Prefferably chenye hati ingawa hata unsurveyed kinaweza zingatiwa. Size kiwe medium density au low.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo hili linafaa kwa ujenzi wa shule.lipo mita 700toka Morogoro Road. Bei M200. Call 0754383174.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
12 Acres Yard Plot for Sale at Kibaha Coast Region (TANITA)Price Tshs Milion 400.Call 0754383174.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau, natafuta hgirl mwenye umri kati ya miaka 20 hadi 25. Awe wa kulala, mchapakazi mwaminifu.mshahara 50,000. Mawasiliano 0655 583344 Mawasiliano
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Ninauza gari yangu ndogo aina 'TOYOTA RAUM', ipo ktk hali nzuri na imetembea hapa miezi 10 sasa. Usajili wake ni BLM, engine yake ni CC 1490, nituliapo nitabandika picha yake. Nipo dar...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unfinished hotel / guest house iko kwenye lenta vyumba 40 self container inauzwa. Ipo morogoro sehemu nzuri sana bei maelewano.take it seriuos , kila document is in order, interested call...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This year, the Rotary Club of Arusha, Golden Sunrise in collaboration with Chapter: 1535 -McIntosh Trail Georgia are organizing an event called the Chalk Walk event to honor great teachers of...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Natafuta gari aina ya Vitz au startlet iwe katika hali nzuri. Kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0784 419030. Nipo Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii natafuta chumba au rum mbili self maeneo hayo nina sh laki 1 kwa mwezi mimi ni mdada niko peke yangu pawe karibu na barabara pls nyumba iwe nzuri.nashukuruni wana jf nawaaminia
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kiwanja hiki kina bonde kubwa pamoja na ardhi tambarare ya kutosha؛eneo hili lafaa kwa kilimo au kiwanda hata makazi pia؛ kwa yeyote atakaye hitaji anaweza kuni pm tukaelewana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa huduma bora za kisasa na kwa bei nafuu, tunatoa huduma zote za kuprint kama vile kuprint tshirt, vitabu, kofia, magazeti, vijarida(magazine), banners, posters, vipeperushi, business cards...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Its simple and fast. Many people make money online just by a wapsite if you have a phone which suports GPRS just visit bongowap.hexat.com and follow the link "wapmaster" or "webmoney"
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu polen na majukumu!nilikua nataka kufahamu hivi empty container 20 ft ni kias gani?na yanapatikanwa wapi?nawasilisha!
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Brand new Black Iphone 4 16GB on sale, mali toka UK. Ukihitaji nipigie 0786 191877. Bei 1.2M, kama uko serious tutaongea.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iphone 3GS 16GB mbili zinauzwa kwa 470,000/= kila moja,, used zipo katika hali nzuri sana..contacts: 0716-904626, Arusha. features: IOS: 4.3.3 3G: HSDPA, 7.2Mbps CPU: 600MHz Colour: White...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji Betri ya Laptop aina ya DELL D610.Tafadhali mwenye kujua inapopatikana tafadhali naomba msaada
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1.NOKIA 1662 -MADE IN ROMANIA/1 MONTH WARANTY/USED 6MONTH/- PRICE 30,000TSHS. WHEN NEW 75,000.TSHS Basic specs RADIO/NO MEMORY CARD/PHONE BOOK 2.NOKIA X3-00 MADE IN MEXICO/1 MONTH WARRANTY/USED...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mnafikiri niuze bei gani. Ziko mbili
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom