Asante sana JF nimepata viwanja bomba vilivyopimwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante sana JF nimepata viwanja bomba vilivyopimwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MAKOLA, Oct 19, 2011.

 1. M

  MAKOLA Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  KUNA JAMAA ALIRUSHA ISHU KUWA VIWANJA VINAUZWA KILINDI.

  EBWANA KAMA UPO NIPE SIMU YAKO NIKURUSHIE HATA VOCHA AU TUMA EMAIL kwanzamen@yahoo.com.

  Bwana nimepata viwanja bomba sana nilidrive kutoka Dodoma hadi Kilindi. Asante kwa kunipa taarifa ya kuuzwa kwa viwanja hivyo
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Ilo eneo lipo mkoa gani mkuu?
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kilind iko mkoa gan mkuu?
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kilindi Iko Tanga mazee
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hakuna msamalia mwema jamani,nami nataka kiwanja huko huko Wilaya mpya ya kilindi
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Hivi huko si ndio kule ambako Viongozi wa kijiji walisimamishwa kusomewa mashitaka yao ya kuuza ardhi kiholela wakadai kua njaa ndio inawaponza?
  Eti wakiletewa ngombe wawili au watatu basi wanatoa mpaka ekari 10!!!
   
Loading...