Re: Fundi mzuri wa mercedez benz

Re: Fundi mzuri wa mercedez benz

DullyM

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
72
Reaction score
18
Pole kaka!! lakini kwa ushauri tu!! gari nyingi za kisasa especially mercedes, zina driving computer!! kama gari ina tatizo dash board inasema service!! ukienda kwa fundi mwenye ujuzi computer inachomekwa na inasema nini kibadilishwe/kisafishwe au kama kukaza nati tu!!!

Compyuta inasema yote. sasa kama una ML ukifunua buti behind the motor where mikono ya buti imeshika body kuna computer box!!

Hiyo ikiungwa na mitambo yao (nina imani bosch wanayo) inasema yote na spare ulizonunua unaweza kukuta inabidi urudishe ama uweke kwa next time!! pole kaka lakini jaribu hiyo. Kama box hamna ujue ndiyo hivyo tena nchi yetu na copy za kila kitu tuko mstari wa mbele.
 
Back
Top Bottom