Natafuta mtu wa kubadilishana simu!

Natafuta mtu wa kubadilishana simu!

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
nina simu Nokia n73 symbian os orijino,nimeichoka kuitumia na ipo katika hali nzuri natafuta mtu wa kubadilishanae na simu nyingine,yoyote anijulishe ana simu gani tumadilishane!
 

Attachments

  • nokia_n73_phone.jpg
    nokia_n73_phone.jpg
    74.8 KB · Views: 91
mimi nina nokia 3310.....uko wapi nikuletee......?
 
Wewe endelea nayo tu hiyo simu mkuu,
Tabia ya kubadilishana vitu unapovichoka sio nzuri kabisa, next time utataka hata u'mbadilishe mkeo!!!
 
Upo wapi tubadiishane na hii HUAWEI yangu kitocho. pm me as soon as possible plz
 
mimi nina Motorola C 500, Nami nimeichoka kweli kama vipi ni pm.
 
hizo zote mlizosema hapo juu hamna kitu, mkuu me nna nokia 1280;ile ya tochi,upo wapi mkuu nikutafute?
 
acheni mambo ambayo hata mtu aliyetokea bush leo hawez fanya,kama ishu haikuhusu kaa kimya!,mbona kuna waungwana wameni pm na tunamaliza ishu mda c mrefu!
 
Vipi Hii yangu nami nimeichoka tukibadirishana itakuwa poa sana

Ericsson-GH-21811.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom