nina simu ya samsung gt-s5233a, inafanya kazi betri inakaa cku nne. ina applic. zote muhimu. nimetumia miez nane tu. betr cku tatu hadii nne. screen tachi ni orgnal. ingia net utazame hiyo model...
Precision aluminum. The new gold standard.
Carved from a single block of aluminum, the MacBook Pro is a true engineering achievement. Its unibody enclosure is the product of precise machining...
wadau wa jf, natahitaji wireless microphone kama ile anayotumia mchungaji christopher mwakasege kenye semina zake, mwenye nayo anipm tufanye biashara au kwa yeyote anayejua nitaipata wapi anipm...
Nimegundua vijana wengi humu ndani ni ma bachala na mmekuwa mnajiuliza mtapata wapi wake wa kuoa. sasa huyu sista kanipa info zake na alikuwa ataka mume tokea East Africa sasa kama kuna mtu yuko...
Tunapenda kuwapa taarifa wadau wote na wapenzi wa Tone Radio Tz.. Baada ya kukamilisha Tovuti yetu sasa Tumeanza matangazo Rasmi ya majaribio ambayo yatakuwa yanawajia kila siku mpaka hapo...
Ipo ni poa,portable.
Nimejaribu ku upload image yake but natumia phone,so nafikir haikubali but unweza searc mwenyewe kama vp call me faster 0715812160
Kuna Eneo la ukubwa wa robo eka linauzwa Majohe Rada karibu na chuo cha ualimu cha Westland College Sh 12,000,000/ kiko Barabarani na nguzo za umeme ziko karibu linafaa kwa Biashara na Makazi...
Tanzania-Africa ipo nyuma katika mambo mengi,kiuchumi kijamii na kisiasa. Sisi vijana wa kitanzania tukiongozwa na Dada Jescar Gerald na kaka Edwin Mrema wameanzisha mtandao wa kijamii View Tz...
Nahitaji Toyota funcargo au toyota corola Ae 111, ya bei ndogo. Inayotumika na mswahili mwenzangu, bei isizidi Tsh 4000000/- mwenye nayo ani pm, pia aonyeshe picha yake.