Ninauza vifaa vya mziki(PA)

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Ninauza vifaa vya mziki ambavyo ni,speaker bass zipo mbili.Speaker mid zipo mbili,closs over moja.Generator inayoweza kusukuma mziki ipo moja.Deck za audio cd zipo mbilli. Kwa anaehitaji tuwasiliane kupitia Private Message kwenye JF.ZINGATIA..Sio lazima ununue vyote kwa pamoja,unaweza kununua kimoja kimoja.
 
hakuna mixer?
Ni aina gani? Vya kuunga unga au it was a complete set?
 
Mixer pamoja na buster nishauza,kwa sababu inakuwa vigumu kuuza vitu vyote complete.Ila vifaa sio vya kuungaunga nilinunua dukani.Pia na projector ipo nayo inauzwa.Nimeamua kufanya biashara nyingine.
 
huh! Sina bahati kumbe umeshauza mixer na buster? Kwangu mimi hivyo ndio kila kitu.
 
Mixer pamoja na buster nishauza,kwa sababu inakuwa vigumu kuuza vitu vyote complete.Ila vifaa sio vya kuungaunga nilinunua dukani.Pia na projector ipo nayo inauzwa.Nimeamua kufanya biashara nyingine.

Vipi projector ulishauza? Kama bado unayo ni pm naihitaji sana!
 
Back
Top Bottom