Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

Maulid jnr

Member
Mar 25, 2021
66
60
habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square.

Bei ni 15,000,000 maongezi yapo.
kipo sehemu tambarare pamejengeka pande zote umeme na maji vipo site. kiwanja kimeendelezwa tayari kuna nyumba ya mlinzi na banda la kuku. Mkataba wa mauziano wa kiwanja upo.

ukihitaji nicheki kwenye namba hii 0783150130
IMG_0568.jpg

IMG_0572.jpg

IMG_0556.jpg

IMG_0560.jpg

IMG_0569.jpg
 
Utauza haraka sana mkuu, bei ni rafiki na umepaendeleza vzr.
.
Ni umbali gani toka Morogoro rd mkuu?
 
habari zenu wakuu bei nimepunguza nipe milioni 13 nikuachie kiwanja changamkeni jamani ukichelewa tusilaumiane
 
Mbona kama bei ndogo sana. Kuna usalama kweli hapo?
... umemsoma vizuri hivyo vipimo lakini? "Ukubwa wa futi 60x50" = mita 18x15 = sqm 270.
Hii ni sawa na 15,000,000/270 = TZS 55,555.55 per square meter! Based on its location, it is one of the most expensive plots ever!

Kwa rate hiyo, eka ni TZS 227,555,555.55/= halafu unasema bei ndogo? Haya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom