Nauza Shamba hekari mia moja(100) lipo Mkoa wa Singida Wilaya ya MANYONI. Shamba lipo Kilometa Saba(7) kutoka Manyoni Mjini ni mwendo wa barabara ya lami na pia Shamba kutoka lami kuingia shamba ni meter mia tano(500) linapakana na Reli Ya Kati na Reli ya mwendo kasi(SGR) na pia linapakna na barabara ya kiwango cha changarawe chini ya TARURA unatoka lami shamba linapakana barabara.
Shamba ni jipya halikuwahi kulimwa toka ulimwengu uumbwe ni wewe kulisafisha. Linafaa kwa kilimo cha KOROSHO, ULEZI, UWELE, MIHOGO, UFUTA, MTAMA, KARANGA, NJUGU MAWE, ALIZETI. Huduma za kijamii zinapatikana Maji, Shule, zahanati n kilometa1 kufikia huduma hizo. Kwa heka zote mia moja(100) nauza SHILINGI MILIONI SITA(6,000,000/=).