Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wapenzi na Wanchama shiriki kuitangaza CHADEMA kila mahali Pata Scarf za CDM kwa 8,000 na 10,000 kwa walio mikoani piga 0714 507507/0786 507507
0 Reactions
28 Replies
3K Views
habari wakubwa, we are developing bussines website for only laki moja tu!!!!!!! if you are you want one email us ashtatu@gmail.com (hosting and publishing cost excluded) thank you,
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Nafahamu kwamba aina hii ya vioo sio fashion lakini nyumba ninayoisha inavyo. Nafanya ka-ukarabati wa nyumba, wapi zinapatikana hapa Dar na bei?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nauza Toyota IST ipo katika hali nzuri,imetembea km.24,500,metallic silver bei Tsh.14,500,000 kama upo interested plz ni-pm
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Ina vyumba vya kulala vitatu ( kimoja self contained na vingine viwili vya kawaida). In sebure kubwa ambayo inatumika kama dinning pia. Ina jiko na store. Ina uwanja wa kutosha kupaki magari...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndg wana jf,kile kitabu cha tamthilia maarufu Willi Gamba na Tausi kinahitajika haraka,mwenye taarifa ya kusaidia kukipata tafadhari atujuze fasta.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Ruvuma wakiwa wamewakamata baadhi ya wananchi wakazi wa Lizabon ambao walikuwa wakifanya vurugu kwa kurusha mawe na kuchoma moto matairi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
vvvvgfgggg
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni ipad 1 ambayo ina 64gb 3g na wifi na pianina uwezo wa kupiga simu na kupokea na pia kutuma na kupokeansms kwa tumia line yako. Bei ni 750,000/. Iko katika hali nzuri kabis haina mchubuko wa...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Wakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1) Flash Disks ya aina ya TOSHIBA. 2gb- 9,000/- 4gb- 10,500/- 8gb- 12,500/- * With 1 Year Warranty. * Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi. * Special for RESELLERS. 2) Memory SD Cards (for...
0 Reactions
3 Replies
939 Views
.
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Ndugu wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimefurahishwa sana na watu wanavyojishughulisha na ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji. Mimi nimenza mradi huu kama miezi mitatu sasa. Nina kuku watano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
external hard disk ya ukubwa wa 2tb aina ya samsung inauzwa. Ni mpya iko kwenye box bei ni 250,000 tu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mtu ananunua simbilisi kwa ajili ya kufuga kama kuna mtu anauza tafadhari ni pm nikuelekeze zaidi
0 Reactions
28 Replies
18K Views
Wapambanaji naombeni mwenye number ya simu ya TRA holili Himo ,natanguliza shukrani zangu wakuu wa nchi,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina milioni mbili,je inatosha kibiashara? Biashara gani inalipa?je mafuta ya kupaka yanahitajika huko? Tupeleke nini na miji ipi inafaa kibiashara?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wakuu.. Kiwanja kina ukubwa wa nusu eka 70*35 kinauzwa mil 8 kipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road),maji yapo,umeme upo na barabara ni nzuri mpaka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia kufanikisha kupata chumba maeneo hususani Ubungo, Mwenge, au Mabibo nitashukuru, Bajeti Tzs 50,000 kwa chumba pekee au Tzs 100,000 kwa chumba na sebule au chenye...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…