Puppy JF-Expert Member Oct 6, 2011 2,995 2,494 Dec 9, 2011 #1 Heshima Kwenu. Playstation 2 inauzwa. Ina control pads mbili, ina uwezo wa kusoma hata Games za kucopy. Haina memory card. Iko Arusha. PM kama unaihitaji
Heshima Kwenu. Playstation 2 inauzwa. Ina control pads mbili, ina uwezo wa kusoma hata Games za kucopy. Haina memory card. Iko Arusha. PM kama unaihitaji
Don Mangi JF-Expert Member Nov 1, 2010 2,198 852 Dec 15, 2011 #2 weka bei sasa unayohitaji...plus picha zake mkuu au na wewe ni mdau mzuri wa mbuzi kwenye gunia?