mkuu ni pm mi ninazo each dollar 595.kufunga dollar 20.unahitaji ngapi?
Wakuu nahitaji ELECTRONIC DOOR LOCKS zenye kufungua kwa kkutumia cards, pia ziwe na uwezo wa kuhifadhi data za kila anayeitumia, zisiwe za bei ghaali tafadhali, maana kuna watu nimewasiliana nao wananiambia dola 680!!
Natanguliza shukrani!
Mpigie huyu bwana anaitwa Joseph 0787993588 alinifungia hizo lock kwenye Lodge Yangu hapa Arusha. viko vizuri mwezi wa saba sasa!!LOCKS kaka, VITASA!! nahitaji vitasa 18, controller1 na cards 25!
Wakuu nahitaji ELECTRONIC DOOR LOCKS zenye kufungua kwa kkutumia cards, pia ziwe na uwezo wa kuhifadhi data za kila anayeitumia, zisiwe za bei ghaali tafadhali, maana kuna watu nimewasiliana nao wananiambia dola 680!!
Natanguliza shukrani!
Kama umeweza kuingia mtandaoni, si u-google tu na uagize? Mfano:
Lockchoice.com Hotel Card Locks Smart Card Hotel Locks Access Control