Swimming classes

Swimming classes

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Natafuta sehemu wanapofundisha kuogelea kwa vijana miaka 13 mpaka 16 kwa Dar es salaam. Mwenye kujua tafadhari nijulishe. Ahsante
 
natafuta sehemu wanapofundisha kuogelea kwa vijana miaka 13 mpaka 16 kwa dar es salaam. Mwenye kujua tafadhari nijulishe. Ahsante

splash town its located at new msasani club
 
Hata mimi nahitaji darasa la kuogelea ila kwa wakubwa. MSAADA TAFADHALI
 
kweli wakuu baada ya tukio la spice islander naona watu wengi sana hapa Somalia wameanza kuchukua darasa la kuogelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom