Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Aneyeuza chain or pete ya silver au gola kwanzia gram 13 kwendelea ani pm
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tunatafuta Apple - iMac G5, 27" Kama unazo tuwasiliane. Asante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba msaada kwa wenye kujua sehemu naweza kupata kiwanja nina mil 7 kisiwe mbali sana na town .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa yeyote anaeuza, iwe in gud condition and fair price... pm me
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu,nauza Blackberry 9800 used kwa wiki 2 Nataka laki 6 bila kupungua
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, kwa mwenye kuweza nisaidia, nna kahela kangu kadogo, nataka nunua kagari ili kurahisisha shughuli zangu za kila siku...napenda starlet o swift ambayo ina hali nzuri kidogo. Nashukuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba mwenye Polk Audio Subwoofer anipe bei yake tafadhali - I desperately need it , Ningeprefer DSW PRO500 model. Natanguliza shukurani za dhati!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ninauza ipad na ipod,bei ni poa kabisa,yeyote ambae yuko interested an PM au simu 0755646049
0 Reactions
15 Replies
2K Views
1.Generator (Kubota engine) 15 KVA – TSH 11 M § Powermaker 15MVK § AUXILIARY OUTPUT -SINGLE PHASE (VAC) - 110 / 240 12kVA / 3x5kVA 50Hz § AUXILIARY OUTPUT –THREE PHASE (VAC) – 415 15kVA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nyumba inauzwa ipo mwanza ina hati mawasiliano 0764368242
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ndugu zangu walioko Tabora mjini mimi natafuta kiwanja kilichopimwa size ya kati (medium) chenye ofa au hati kabisa. Kiwe kinafikika kwa gari na pia kisiwe mbali sana na barabara.. kuu kisiwe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dawa ya kukuza, kujaza, na kufanya nywele ziwe nzito inauzwa kwa bei ya sh. 8500/= tu. Mnaweza kuipata kwa kupga simu 0787638521. Napatikana Dsm, Karibuni kina dada na kina mama.
0 Reactions
14 Replies
27K Views
Simu zilizopo katika hali nzuri na za uhakika na kila kitu chake kipo hadi box unapewa HTC G1 WHITE=400,000.........BLACKBERRY 8520 WHITE =270,000............. BLACKBERRY 8310 =300,000...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello JF Kama kuna mwenyeji wa mwanza anaye jua sehemu gani kuna viwanja au mashamba yanauzwa kwa bei nzuri,si zaidi ya 10m naomba tujulishane. Au kuna unfinished house ambayo ina ramani nzuri...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mambo vp wakubwa, Kama unauza modem model hiyo nanunua kwa tshs. 30,000/= Nicheki 0655003510
0 Reactions
3 Replies
1K Views
if u gt it, pm me
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Ndugu zangu, natafuta mbwa aina ya German Shepherd (kama wale wa polisi wenye maumbo makubwa). Nipo Dar. Mnifahamishe na bei zake tafadhali. Mawasiliano 0787 991 782. Itapendeza nikipata wenye...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
bajaji ya mizigoinauzwa LIPO MWANZA inahitaji tairi moja ya mbele bei sh tsh 800,000 0784736577
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hasa wa pale Moro naombeni msaada wenu,nahitaji nyumba kwa ajili ya kupanga hasa maeneo ya MAZIMBU au MODEKO,kwa yoyote anaweza kunipa taarifa ya upatikanaji naomba ani PM au tuwasiliane kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nokia n78 ipo kwenye condition nzuri :Specs,wifi.bluetooth,3g.Primary camera 3.15megapixel,secondary for video call
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…