Nyumba ya inapangishwa mbezi makonde.

Nyumba ya inapangishwa mbezi makonde.

Tumba

Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
37
Reaction score
2
Nyumba inapatkana mbezi makonde, ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo cha ndan(public toilet), iko kwenye shared compound, car parking kubwa. Kodi kwa mwezi ni Tsh 200,000 kwa miez 12. Anaehitaj ani pm kwa mwongozo zaidi.
 
Mkuu laki2 nyingi sana kwa miezi 12 punguza hadi laki na nusu niku pm sasa hivi 2elewane
 
Mkuu nimekusoma ila elewa hii n mali ya wa2 mi nafanya kusaidia 2. Haipungui hata senti tano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom