Please! Natafuta tempo nipo arusha

Please! Natafuta tempo nipo arusha

Jomla

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
79
Reaction score
69
Jaman wana Jamii mi ni kijana mmoja wa vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka huu na nipo ARUSHA,nina tafuta tempo kwa kipindi hichi ninachosubiria matokeo ili mradi tu iwe ni kazi halali na vigezo vyote vinavyo onesha kuwa nimehitimu kidato cha sita kikiwepo leaving certificate japo natambua kuwa, kuwa na leaving au kumaliza kidato cha sita si kitu ila tu ni kunisaidia tu nisikae tu bure, msaada wenu tafadhali.
 
Excellent thinker. kila la kheri usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom