kiwanja kinahitajika geza ulole

J Rated

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
269
51
low density plot with clean title deed at geza ulole area needed.10m offer
 
Mkuu,
Juzi nlipewa offer ya hukohuko Gezaulole, Sqm 1,000 niilipie 5Mil kwa mwenye vocha, kisha nije nlipie another 5Mil serikalini,
Kama wahitaji wasiliana Na huyu jamaa 0714 055 160 ndie alieniunganishia
 
mkuu asante sana,ntawasiliana nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom