iwe na vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwa master,iwe na uzio, pia parking ya gari ya kutosha. iwe maeneo ya ubungo, kimara mwisho mbezi.
bei yake isizidi laki tatu kwa mwezi
ninahitaji haraka...
nyumba iwe na master pamoja na vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa dining, parking ya gari na iwe ndani ya uzio. iwe maeneo ya kuanzia ubungo kufuata moro road mwisho mbezi.
bei isizidi laki...
kama unataka gari kwa bei poa inawezekana utaangalia minada ya magari live kupitia kwenye kifaa maalumu nilichokujanacho kutoka Japan,utaweza ku-bid gari wewe nyewe kupitia computer iliofungiwa...
:A S 465: Jaman kwa mtu atakayenipa dili la website nitengeneze atapata 10% baada ya malipo. Asilimia zinaweza ongezeka kutokana na dili lenyewe. Kama uko tayari nitumie email...
iko ktk hali nzuri sana ni screen touch inakaa na chaji siku nne, ina bluetooth, camera 3mgpxl n.k.
bei laki mbili. pia naweza kubadilishana na nokia n73. contact :0714-408238, 0759-401230.
Natafuta tractor la kulima shamba la ukubwa wa ekari 25, shamba lipo wilaya ya Kisarawe, kupitia njia ya Chanika.
Tafadhali kama unalo au unajua mtu mwenye biashara hiyo naomba mawasiliano nao.
Nyumba mbili zenye ukubwa wa sqm 627 zinauzwa zote kwa pamoja. Zipo Sinza 'E' karibu na Lion Hotel zina hati.Picha nitatuma,kwa mwenye uhitaji anaweza kuwasiliana na mwenye nyumba hizo kwa namba...
Ndugu wadau
kuna Mashirt ya kiofisi na casual kutoka SAVILE ROW COLONDON, DEHAVILLAND NA VENTUNO 21 katika mtandao wa shilingishop.blogspot.com
Jamani tuwaunge mkono na kuwapa support...