Natafuta Carina TI

Natafuta Carina TI

king'amuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
614
Reaction score
225
kwa mtu mwenye Carina Ti ambayo ipo kwenye hali nzuri na anahitaji kuiuza awasiliane nami kwa number 0713 691620 Andika msg ukinijulisha Bei ya mwaka gani na wewe unapatikana maeneo gani hapa Dar.
Bei nitatoa kulingana na hali ya Gari
Nb
Siitaji gari yenye exemption, na Muuzaji awe Tayari kufanya verification TRA.
 
Back
Top Bottom