Camera za kisasa njoo tuzungume biashara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Camera za kisasa njoo tuzungume biashara!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mkatakona, Mar 30, 2012.

 1. m

  mkatakona Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  SONY CYBER-SHOT DSC-HX1
  412567_1_644x461.jpg
  Slightly used but still new and in excellent workingcondition. This camera has extremely powerful ultrazoom option that shootsgreat pictures and nice videos along with easy night shots.

  Megapixel Super Exmor™CMOS Image Sensor
  Optical SteadyShot™ ImageStabilization
  Professional QualityG-Lens
  20x High Zoom and 28mmWide Angle Lens
  High Speed Shooting (10fps)
  Sweep Panorama Mode
  BIONZ™ imageprocessor
  Anti-Motion Blur andIntelligent Auto Mode
  Smile Shutter™ Technology
  Stamina® BatteryPower
  HD movie recording atup to 1440×1080 at 30 fps
  Weight withoutbatteries 514g

  Call me on +254710305149....offer valid while stocks last
  PRICE: 500,000/=
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  weka model namba tuweze kujiridhisha uzuri wake.
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  unazo moving?
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mkuu bei haipungui hiyo?
   
 5. m

  mkatakona Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  specification zote za camera including model hizo hapo mkuu na bidhaa yenyewe inalook the same kama hiyo picha...
   
 6. m

  mkatakona Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkuu bei ya mwisho ni 485,000... sikufichi mkubwa fanya mwenyewe uchunguzi mdogo camera dizaini hizi bei yake iko vipi ulinganishe na bei ninayokupa hapa mkuu.
   
 7. m

  mkatakona Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  niwie radhi kaka kama sijakuelewa kidogo Moving kwa maana ipi mkuu?
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Kaka mimi nimeona hiyo ni Sony lakini sijui ni model gani ,ulizoweka ni specs lakini sijaona model,tafadhali weka model kwani Sony ziko nyingi,model ni muhimu ili kujua hata ufanisi wake wa kazi ,pamoja na kuweka hapa ,unaweza kuweka za model ingine
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anamaanisha moving video
  Kwa hiyo ni used?
   
 10. m

  mkatakona Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3

  MODEL ni SONY CYBER-SHOT DSC-HX1, kwa sasa stock ya camera zinazobaki ni hizi mkuu
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  300k cash!!
   
 12. m

  mkatakona Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  stock ya video Camera imekwisha kwa sasa, hii camera ni used ila iko katika hali njema kabisa sawa na mpya. na pia inachukua video sababu moja ya specs zake ni HD movie recording at up to 1440×1080 at 30 fps....ni nzuri sana mkuu na bei nimekushushia sawa na bure
   
 13. m

  mkatakona Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu yangu kwa jinsi camera ilivyo bei ilikuwa laki tano ila nashuka mpaka 485,000 ambayo mkuu inakuwa bei ya mwisho kaka
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kitu cha ukwee
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Nzuri sana.
   
 16. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi naipenda hiyo kitu, nipo Kigoma nitaipataje!
   
 17. m

  mkatakona Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nimeku pm mkuu, karibu tuzungumze biashara
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  ukijapata camcorder iwe Sony,JVC,Panasonic 32 GB nakuendelea tuje tuambiane mkuu
   
 19. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mkuu usisumbuke kwa huyu bwana! Mimi nimem PM na yeye akani PM lakini anaishia kunipa namba za simu za mtu mwingine eti niwasiliane naye anakuja na mzigo kutoka Nairobi! Inaelekea huyu bwana ni dalali asiyekuwa na uhakika wa kazi yake.
   
Loading...