Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel

Discussion in 'Matangazo madogo' started by eliangikundi, Mar 26, 2012.

 1. e

  eliangikundi New Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wadau,

  Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel kwa mtu ambaye haitumii tena. bei nitakayonunulia ni sh10,000 kwa moja. kama kuna mtu anazo naomba anipigie simu kwenye +255 715 408 233. Nitashukuru sana.

  eliangikundi
   
 2. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Airtel tsh 10,000 bora iozee gheto. Tigo utapata lakini mi nauza tsh 15000.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  we unataka kuibiwa wewe,nakuomba kama unataka modem nzuri na waranty ya miezi sita piga simu no.0655524444 au njoo uhuru computers kariakoo kongo mtaa wa uhuru
   
Loading...