Kozi fupi za acting,cinematography na screenplay writing | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kozi fupi za acting,cinematography na screenplay writing

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jhonie, Apr 2, 2012.

 1. j

  jhonie New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUNATARAJIA KUWA NA SHORT COURSES ZA FILMS MKOANI MOROGORO KWA MUDA WA WIKI TATU, KOZI HIZO ZITAKUA NI ACTING,CINEMATOGRAPHY NA SCREEN PLAY WRITING, MAHALI NI KATIKA CHUO CHA MAGADU ENTREPRENEURSHIP AND BUSINESS TRAINING INSTITUTE KIKO NJIA YA KWENDA MZINGA,KINAANGALIANA NA CHUO KIKUU CHA SOKOINE (SUA) WAWEZESHAJI NI CHARLES KAYOKA,JOHN MWAKILAMA NA DEBORA JINGU...ADA YAKE NI TSH 150,000/= WALENGWA NI WATU WOTE.....MUDA UTATANGAZWA KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILINIANA NAMI KWA 0714 13 22 49 na email mwakilamajohn@yahoo.com
   
 2. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lusinde Livingstone inamfaa hii, kwa sababu yeye ni muigizaji wa vichekesho! Mkuu Lusinde changamkia hii haraka, mwambie Mwigulu akuwezeshe ukaongeze ujinga wako ili uwe kiongozi wa majuha!
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  thawa mkuu
   
Loading...