Ninauza window wa kompyuta

Jitambuwe

Senior Member
Sep 25, 2011
166
130
Jamani mie ninauza window wa komputa, kwa bei nafuu sana, windo xp, huo uko sildi. Kwa mawasiliano piga simu namba +255657315394
 
Hujanielewa wapi, yaani namaanisha hivi ninauza windo xp, wa compyuta kwa mawasiliano 0657315394, umenielewa
 
Mie pia mwanzoni nilikuwa sijakupata ila baada ya kutafakari sana nikawa nimekuelewa,ila tatizo inaonyesha liko kwenye uchanganyaji wa hayo maneno ya kizungu na kiswahili.
 
Huenda nitaelewa baadae. Kuna CD hapa za Operating System za Window (XP, 7 na Vista) pamoja na key zake. Ninagawa bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom