SCANIA 113 TRUCK & TRAILER VINAUZWA, double differntial, pulling

SCANIA 113 TRUCK & TRAILER VINAUZWA, double differntial, pulling

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,119
A79QOFkEOgNBAAAAAElFTkSuQmCC

Gari na tela yake ina hali zuri sana kwa kila kitu na iko safarini kwa mawasiliano kwa maelezo zaidi 0754-646827
 
weka picha,weka na bei mkuu!pia eleza kama unaweza kuuza kila kimoja kivyake,ikimaanisha kichwa peke yake,na trela peke yake.
 
Jamaa kapotea sijui kwa nini waTZ wanapenda kufanya biashara kienyeji namna hii.
 
Jamaa kapotea sijui kwa nini waTZ wanapenda kufanya biashara kienyeji namna hii.

Nipo nawapigia simu vilevile unaweza ku- PM, hata tuma msg kumia 0754-646827

kuuza truck pekee inawezekana au trailer pekee na pia tunazo track na trailer zaidi ya tatu tumeannza na hiyo kwanza lkn haizuii ntu kununua hizo zingine.. KARIBUNI SANA..
 
Back
Top Bottom