chumba na sebule kinahitajika maeneo ya shekilango, kodi isizidi laki 1 na iwe miezi 6! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chumba na sebule kinahitajika maeneo ya shekilango, kodi isizidi laki 1 na iwe miezi 6!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mathematics, Mar 25, 2012.

 1. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,248
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Natafuta chumba na sebule kwa ajili ya kupanga kiwe maeneo ya Shekilango au Ubungo stand ya mkoa, kiwe kina hali nzuri, kusiwe na muingiliano wa watu wengi, kuwe kuna usalama, kodi isizidi laki moja na iwe kwa miezi sita tu.

  naomba mnipige tafu kwa hili wana JF wenzangu, please ni pm

  Thank you in advance.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Ndio unaanza maisha? Kazi umepata kampuni gani?
   
 3. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,248
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nasogea karibu na mjini kuepuka foleni, mimi mwenyewe ni full kampuni..
   
 4. m

  mekwedweet Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Add Content
   
 5. W

  Wenger JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 424
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Mhm kwa hiyo bei tena kodi ya miezi sita!sio rahisi kupata shekilango labd manzese uzuri au mabibo
   
Loading...