natafuta cheap ipod touch ya kununua mwisho wa mwezi

snagnax

Member
Apr 22, 2012
49
9
hey guys natafuta ipod touch used ya kununua by the end of the month mshahara ukitoka...kama upo interested please PM me your number,price na specification za ipod then mwisho wa mwez au kabla ya hapo i'll call you with cash in hand

price isizidi 230,000/=
 
I have a 32gb ipod touch! But price yako iPo down sana! Check me kwa 0714021078 if utakuwa really in need
 
dah mshahara wote unanunulia Ipod (Nakutania mkuu) unaonaje nikakuuzia Nokia N97 kwa 250 ambayo ina 32GB Mass memory na humo utaweka nyimbo utapata hiyo touch unayoitaka uta surf internet na zaidi ya yote utaitumia pia kama simu kwa ajili ya mawasiliano.
 
mkuu upo wapi nina mbili
 
Back
Top Bottom