Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
Tuma PM
Karibu ofisini kwetu, suite 9 (left wing), first floor, haidery plaza... Upanga road. Ulizia ofisi za Web Technologies.Tuma PM
Icheki site yangu hii kisha ukinikubali ni PM . mimi ninauwezo wa kukutengenezea website aina yoyote. http://www.rafikibuzz.com
ungekuwa us, sasa hivi ungekuwa huna access na internet, kule ndani hata cellphones haziruhusiwi, lakini jamaa hawako mbali sas wana regional office pale nairobi, tutawaforwadia hii kitu.
sijakuelewa unamaanisha nini
Anamaanisha kuwa Facebook, wanaweza kukufunga kwa wizi wa kazi yao.