Android phone

Android phone

Riccristin

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
350
Reaction score
51
Mwenye nayo ani pm tufanye biashara...
Nina laki tatu na nusu!
 
aisee naitaka iphone 3g... Nicheck 0688 282403
 
android ni O.S inayotumika kwenye device nyini sasa, simu na hata tablets,
ukisema unahitaji simu ya android unakuwa too general ni vema ukasema brand name ya hiyo simu unayotaka, au vigezo vya hiyo simu yenye O.S ya android,
Ukiwa specific hivyo ni rahisi mtu kukusaidia,
 
okey iwe samsung,htc&sony ericsson
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom