Wadau,
Nahitaji gari zifuatazo kama kuna mtu anauza. Iwe imetumika kati ya mwaka mmoja hadi miwili, na iwe katika hali nzuri.
Bei ni maelewano kutokana na hali ya gari.
- Toyota Premio, 1800cc...
Habari za shughuli wadau,
Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee...
Nauza Isuzu Trooper ya mwaka 1993. Ipo Mbezi ya Kimara. Excellent Condition. Bei 16m.
Magari mengine ni
- Kia Saloon 8.5 m ipo Znz.
Contact me for more details.
Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni kagera ni yakukarabati kidogo tu ni ya vyumba 6 na mabanda ya uwani mawili, bei ni mil 70 gari inafika adi mlangongoni cm yangu,,0767 666137
Nyumba ya ghorofa moja ipo Kimara stopover - Michungwani area(haijapauliwa) inauzwa bei ya kutupa,Ina Master bed room 3 za ukubwa wa 6x6mtr ziko juu,Bed room ya kawaida 1 ya 5x5mtr iko juu,M/bed...
Kwa wale wapenzi UNLIMITED BROADBAND leo nimeinasa hii:-
"Napenda kuwafahamisha kua TTCL imefanya marekebisho ya huduma zake za broadband zisizo na kikomo (unlimited packages) katika maeneo...
Nina asali safi tani 5, natafuta soko.
Bei ni maelewano, na kwa kukubaliana naweza kumsafirishia hadi popote ndani ta TZ.
Asali hii imetokana na misitu ya asili. Ni asali safi ambayo haikuchemshwa...